Watumishi wa Mungu

Wednesday, June 15, 2011

CALVARY TEMPLE ARUSHA: PENTECOST AWEKENING

http://www.facebook.com/media/set/?set=a.168180206578825.43281.100001605396243
Calvary temple ndani ya wiki la pentekoste kama inavyojiri na ni kawaida ya kanisa la TAG kuwa na wiki la pentekoste ambalo lengo lake ni kuamsha moto wa ROHO MTAKATIFU ndani ya kanisa. Jambo hili hufanywa  kila mwaka Tanzania nzima.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyojiri katika kanisa hili na kwa ukweli yanastahili kuigwa na makanisa yote ya kanisa la TAG

kwaya ya Calvary Temple Arusha


kazi nzuri iliyofanya sherehe ifane

Vuvuzela ndani ya uvuvio wa upako


papaaa piga base




dah!kwa Yesu raha yaani hadi Kiduku


mama Mchungaji wa kanisa hilo

mr nae kweli Yesu ainuliwe juu


papaa jose






No comments:

Post a Comment